Buriani Eddie Luwasha, mafyatu watakukumbuka kwa mengi
“Kifo, kifo, kifo hakina huruma”, alijiimbia fyatu Remi Ongaka asijue bila kuwepo kifo haki isingetendeka. Juzi mafyatu walipopokea msiba wa Eddie Luwasha aka Richmonduli yero ambaye hakutumia...